Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, July 20, 2018

Familia ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete yapatwa na msiba mzito

adv1
Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Bi. Salma Kikwete,   mzee Rashid Mkwachu  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Taarifa iliyotolewa jana Alhamisi Julai 19, 2018 na mbunge Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete kwa niaba ya familia,  imesema shughuli za mazishi zitakuwa Msasani nyumbani kwa familia ya Kikwete, huku akieleza ratiba ya mazishi.

adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )