Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, July 1, 2018

Breaking News: Hiace tatu Zagongana na lori Mbalizi Mbeya.....Tazama Picha za Tukio

Lori limegonga daladala tatu eneo la Mlima Mbalizi wilayani Mbeya.

Wananchi wakishirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama wanaendelea na jitihada za kulinasua daladala lililolaliwa na lori hilo.

Ajali hiyo imetokea mchana wa leo Julai Mosi, 2018 baada ya lori hilo kugonga daladala zilizokuwa zinatoka stendi ya Mbalizi kuelekea Mbeya mjini. Taarifa kuhusu majeruhi na vifo bado haijatolewa.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla na  kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, Mussa Taibu wapo eneo la tukio.

Kazi ya uokoaji inaendelea kufanywa na vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakishirikiana na wananchi.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )