Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Thursday, July 5, 2018

Kangi Lugola Arejea Jijini Dar Es Salaam Afanya Mazungumzo Na Kamishna Jenerali Wa Jeshi La Zimamoto Na Uokoaji

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (kushoto) baada ya kurejea kutoka jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam,walijadiliana  mambo mbalimbali yanayolihusu jeshi hilo

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akijadiliana  mambo mbalimbali yanayolihusu jeshi hilo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam baada ya Waziri Lugola kurejea kutoka jijini Mbeya

Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )