Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Thursday, July 5, 2018

Kangi Lugola Na Mhandisi Isaac Kamwelwe Watembelea Eneo La Ajali Na Majeruhi Wa Ajali Iliyotokea Katika Eneo La Mlima Iwambi Jijini Mbeya

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia), akimjulia hali mmoja wa majeruhi  aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa Ifisi, ajali hiyo iliyotokea hivi karibuni, katika eneo la Mlima Iwambi,jijini Mbeya.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac  Kamwelwe (kushoto),na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati), wakimjulia hali mmoja wa majeruhi aliyelazwa katika Hospitali Teule ya  Mbalizi, ajali hiyo iliyotokea hivi karibuni, katika eneo la Mlima Iwambi,jijini Mbeya
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na wananchi katika eneo la Mlima Iwambi,jijini Mbeya, ambako hivi karibuni kumetokea ajali iliyosababisha vifo na majeruhi

Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )