Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, July 4, 2018

Mtoto Patrick wa Munalove Afariki Dunia

adv1
Msanii  wa Filamu za Bongo na mdau wa Muziki wa Bongo Fleva, Rose Alphonce ‘Muna Love’  na mtangazaji Casto Dickson,  wamefiwa na mtoto wao aitwaye Patrick ambaye amefariki leo Julai 3, 2018 akiwa nchini Kenya akipatiwa matibabu.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Zamaradi Mketema ameandika

“Tumejitahidi ila MUNGU ana mitihani yake, mikono inatetemeka ila ndio ukweli, PATY AMEFARIKI!! Pumzika kwa amani baba”

Pia Tunda ambaye ni mpenzi mpya wa Casto Dickson mara baada ya kuachana na mama mtoto wake Munalove, ameguswa na kifo cha mtoto huyo ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa;

“Daah RIP Patrick Mungu amekupenda zaidi”
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )