Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Sunday, July 1, 2018

Rais Magufuli Asali Ibada Ya Jumapili Dominika Ya 13 Kanisa La Mtakatifu Petro Jijini Dar Es Salaam

adv1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana amani na  waumini wengine kusali Ibada ya Jumapili, Dominika ya 13, katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam.
Picha na IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mstaafu Mhe. Thomas  Mihayo, ambaye nii mmoja wa wazee wa kanisa  leo Julai 1, 2018 alipoungana na waumini wengine kusali Ibada ya Jumapili, Dominika ya 13, katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam.

adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )