Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Wednesday, July 11, 2018

Sister Fey :-Sijui Umri Wake Mimi Ninachojali Ananifurahisha na Yuko Vizuri

Msanii wa bongo music Sister Fey amefunguka na kuelezea mambo  anayokumbana nayo katika penzi lake jipya na msanii Holystar ambae ameanza kumuweka katika mitandao hivi karibuni.

Fey anasema kuwa video na picha ambazo zimekuwa zikisambaa katika mitandao alikuwa amezipost yeye mwenyewe ingawa mpenzi wake huyo alikuwa hataki kupost video na picha hizo  lakini yeye ndie aliamua kufanya hivyo baada ya kutukanwa na dada wa mpezi wake huyo.
 
Fey anasema kuwa watu  na ndugu wa mwanaume huyo wamekuwa wakimtukana kuwa  anatembea na ndugu yao mwenye umri mdogo lakini cha ajabu yeye hata umri wa mwanaume wake haujui anachojali ni raha anazopata tu.

"wanza kuhusu ile video mimi ndio nilikuwa nimemwambia kuwa dada ake amenitukana lakini akaniambai niache nisiseme kitu,niliipost mwenyewe maana yeye hata alikuwa hajapenda mimi nipost.Dada ake alinitukana kutokana na mambo ya watu ya kiswaili swahili.

"Dadaake anasema kuwa mdogo wake mdogo lakini mimi hata miaka yake sitaki kuijua na sioni udogo wake.... ana udogo gani sasa wakati mimi ananifurahsiha na yuko vizuri, hata sijui nimepishana nae miaka mingapi wala sijui ana umri gani."
Advertisement
Loading...
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
==

taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

Loading...