Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Thursday, July 12, 2018

Uteuzi Mwingine Uliofanywa na Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Casmir Sumba Kyuki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja (UTT AMIS) iliyo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango. Uteuzi wa Kyuki unaanza  July 11, 2018.

Kyuki ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )