Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, July 8, 2018

Live Video: Tazama Ndege mpya ya Tanzania Boeing 787-8 Dreamliner Ilivyowasili Nchini

Tazama hapa moja kwa kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, ndege mpya ya Tanzania aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ikiwasili ikitokea, Seattle nchini Marekani.

Ndege hiyo ni ya nne kuwasili kati ya saba zilizonunuliwa na Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuliwezesha shirika la ndege la Tanzania (ATCL) ili kuimarsha huduma zake
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )