Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Monday, August 6, 2018

Akaunti ya Zari Yadukuliwa Mapema Leo.

Akaunti ya instagram ya mwanamama Zari the Bossy leo mapema baada tu ya kuweka  birthday wishes za mtoto wake wa kike imedukuliwa na kufutwa kila kitu katika akaunti hiyo.

Mwanadada huyo ambae hivi karibuni tu aliweza kufikisha followers zaidi ya 4.2  milion anaripotiwa kutoonekana wala kupatikana kwa sasa katika mtandao huo kutokana na wajanja hao kumfanyia mchezo huo mchafu.

Hata hivyo watu wake wa karibu wamethibitisha hilo huku wakisema kuwa wanafanya kila liwezekanalo ili kutatua tatizo hilo.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )