Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Monday, August 27, 2018

Alichokisema Wema Sepetu Baada ya Kusikia Ommy Dimpoz Kalazwa ICU

Msanii wa filamu za Bongo Movie Wema Sepetu amefunguka na kuweka wazi kuwa hali ya Msanii wa Bongo fleva Ommy Dimpoz imeendelea kuwa vizuri tangu taarifa zake za kuzidiwa kuvuma.

Siku ya Jumamosi taarifa za Ommy Dimpoz kuzidiwa na kulazwa ICU zilisambaa mitandaoni  na kusababisha taharuki kubwa miongoni wa mashabiki zake.

Wema ambaye ana Ukaribu mkubwa na Ommy Dimpoz amefunguka na kuweka wazi baada ya kuwasiliana na Ommy anaamini anaendelea vizuri na hakuna kibaya kitakachotokea:

"To you My Forever Bae… . . . You are Stronger than you Think You are Braver than you Think You are Couragious than you Think You are Bigger than you Think You can overcome whatever thats holding you down right now in the name of Allah… . . . 

"Kama nilikosa nguvu na kuishiwa pose kabisa nilivyosikia u are not ok na uko ICU but after talking to you Im at ease…. We are not ready to hear bad news kabisaa…. No Sir…!!! You will be fine before you know it… That Hospital Bed aint for you… 

"Unajua You mean sooo much to me…. Na nakupenda kwa Kiasi kikubwa sana…. Fanya upone my love… Fanya upone haraka… Ila umekuwa Mcharo sana sasa hivi hadi raha… 😍😍😍 . . . 

"I love you… @ommydimpoz @ommydimpoz @ommydimpoz @ommydimpoz . . . Ila mgonjwa wewe mbea jamani…😂😂😂 You made my nite baby… Missing you sooo much… Cant wait to see you"....Ameandika Wema Sepetu

Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

taboola apo chini
Loading...
....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )