Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Tuesday, August 21, 2018

Casto Humwambii Kitu Kwa Penzi la Tunda...."Niiteni Tu Bwege, Limbukeni. Hii Ndo Parking Yangu Milele"

Mtangazaji wa Clouds TV Casto Dickson  kadata na penzi la Tunda. Kwanza anasema yuko tayar aitwe jina lolote lile, lakini kwa Tunda kafika na hawezi mwacha kwa kuwa ndo msichana pekee mrembo aliyebahatika kumpata tangu aanze mahusiano.

Casto ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram: "Mnaniita Bwege, Limbukeni, Mshamba, Sijawahi kuwa na Mwanamke Mkali, Niiteni tu Majina yote hii ndio PARKING YANGU MILELE🀐🀐🀐"

“Wakati na kutana nae as ANNA hakuna aliekuwepo zaidi ya mimi na yeye, Yote aliyoyafanya nyuma kwangu si chochote naamini nina ANNA mpya zaidi ya mnavyofikiria πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»” 
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )