Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Wednesday, August 22, 2018

Diamond Kuongeza Jumba Jingine la Kifahari Afrika Kusini

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa ana mpngo wa kununua nyumba nyingine nchini Afrika Kusini.

Muimbaji huyo anayetamba na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Jibebe ametumia Insta Strory kueleza hilo.

"Still in love with my first South Africa house.... adding the new house in here before end of the year," ameeeleza Diamond Platnumz.

Nyumba ya sasa iliyopo Afrika Kusini ndipo inaishi familia yake, yaani mzazi mwenzie Zari The Bosslady na wanae wawili, Tiffah na Nillan.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )