Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, August 3, 2018

Lulu Diva Adai Anamiliki Gari La Thamani Kuliko Wasanii Wote Tanzania

 Aliyewahi kuwa video vixen na sasa ni msanii wa muziki wa bongo fleva, Lulu Diva anae hit na ngoma yake ya 'Ona' amefunguka kuwa yeye ni msanii pekee anaemiliki gari ya thamani Tanzania nzima.

Akipiga story Ayo tv, Lulu Diva, amefunguka na kusema kuwa hana mpango wa kubadilisha gari kwa sababu gari lake ni zuri na lina thamani kuliko magari ya wasanii wote Tanzania. 

“Hapana sina mpango wa kubadilisha gari lakini nitabadiisha rangi kwa sababu sijaona gari ambayo ninaweza nikabadilisha tofauti na Jeep naipenda sana, halafu pia katika wasanii wote mimi peke yangu ndio nina gari nzuri halafu la thamani nyie wenyewe mkiangalia mnaona na sio kitu ambacho naongea ili kujisifia ila am proud of myself” alisema Lulu Diva huku akiongeza kwa kusema kuwa gari hilo hajanunuliwa na mwanaume bali kanunua mwenyewe kutokana na juhudizake binafsi za kimziki, biashara na ukulima wa kahawa.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )