Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Monday, August 27, 2018

Machache Yaliyojiri Weekend Toka Azam Tv

==>>Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania KKKT limetaka tambo zipigwe kujenga siasa za maridhiano zitakazochochea umoja, shikamano na udugu miongoni mwa Watanzania. 

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Kanisa hilo Askofu Dkt. Fredrick Shoo wakati akifungua mkutano wa 35 wa Dayosisi ya kaskazini ya kanisa hilo ambao hufanyika kila baada ya miaka miwili kutathimini utekelezaji wa mipango mbalimbali ya kanisa. 

==>>Waziri wa mambo ya ndani kangi lugola ametoa muda wa siku nne kwa mkandarasi anayejenga jengo la uhamiaji mkoa wa lindi kuwasilisha taarifa zake za usajili wa kampuni yake pamoja na mkataba uliyomsababishia kushinda tender ya ujenzi wa jengo hilo. 

==>>Uganda wanaibuka mabingwa wa michuano ya Kufuzu Afcon U17 mwakani ambapo wataungana wenyeji Tanzania kutoka ukanda wa CECAFA.

==>Tazama Habari Kamili hapo chini toka Azam Tv
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )