Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, August 26, 2018

Matukio Katika Picha Rais Mstaafu Kikwete Alivyoshuhudia Sherehe Za Kumuapisha Rais Wa Zimbabwe Mhe.mnangagwa

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Zimbabwe Mhe.  Emmerson Dambudzo Mnangagwa zilizofanyika leo Jumapili Agosti 26, 2018. 

Katika safari hiyo Dkt. Kikwete ameambatana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg. Philip Mangula akiwa na Mwenyekiti wa United Democratic Party (UDP) Ndg. John  Momose Cheyo
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )