Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, August 24, 2018

Msanii Shilole Kapata Dili Jingine Kubwa Kutoka TTCL

adv1
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Shilole ameendelea kuneemeka kwa kupata madili makubwa kwa mwaka huu ambapo amepata dili lingine na shirika la kizawa la simu za mkononi la TTCL.

Shilole amethibitisha dili hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika; "Asanteni sana TTCL Tanzania kwa kuniamini na kunipa Nafasi hii! Mkataba umeshasainiwa. Asante Kaka yangu Waziri kwa kuniamini pia. Sasa turudi Nyumbani mashabiki zangu. #RudiNyumbaniKumenoga .Wakati ndio huu! @ttcl_corporation".

Hili ni dili la pili kwa mwaka huu kwa msanii Shilole kusaini, mwezi uliopita alisaini dili la ubalozi na British Council ambalo mwenyewe alidai kuwa ni dili nono.


adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )