Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, August 19, 2018

RC Makonda afunguka kuhusu Harusi ya Lulu Michael

Kwa kipindi kirefu kumekuwa na stori za hapa na pale kuwa muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Machael 'Lulu' anaolewa na Majey.

Sasa basi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana  August  18, 2018 akiongea na waandishi wa habari alipohudhuria Komaa Concert aliulizwa kuhusu uwepo wa harusi hiyo.

RC Makonda amesema Harusi ya Lulu na Majey ni miongoni mwa harusi tatu ambazo ni lazima azisimamie.

"Majizo tayari yupo kwenye mipango na binti yangu Lulu na wameshakuja nyumbani na wameshafanya vikao vingi vya kupanga kwa ajili ya Harusi," alisema RC Makonda.

RC Makonda ametaja harusi nyingine mbili ambazo lazima azisimamie ni ile ya Meya wa Kinondoni, na ya Lemutuz.

==>>Msikilize hapo chini
Advertisement
Loading...
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
==

taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

Loading...