Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, August 31, 2018

Rich Mavoko Kaachia Video ya wimbo Wake Ndegele....Ndani ni Kama Kamchokonoa Diamond na WCB

Msanii wa muziki, Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake ‘Ndegele’ ikiwa ni video yake ya kwanza toka aingie kwenye mgogoro na WCB  ya Diamond, label ambayo amefanya nayo kazi kwa miaka 2.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya kazi akiwa katika kampuni yake ya Billionea kid,  kupitia video hii ni kama katupa jiwe gizani ambapo  mashilawadu wanadai linawalenga moja kwa moja WCB ambao hapatani nao.

==>>Itazame hapo chini
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

taboola apo chini
Loading...
....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )