Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Tuesday, August 21, 2018

Video: Isikilize Hapa Ngoma mpya ya Harmonize ATARUDI

Msanii chini ya Lebo ya WCB, Harmonize ameachia wimbo wake mwingine ambao kwa sasa unafanya vizuri katika chaneli za YouTube kwa kushika namba 2 kati ya video bora na kutazamwa zaidi katika mtandao huo.

Wimbo huo unaitwa ”Atarudi” akiwa amefanya video yake nchini Nigeria huko Lagos na Afrika Kusini.

Aidha mashabiki wake mbalimbali wametoa komenti zao juu ya ujio wa wimbo huo na kusema wimbo ni mkali na huenda Harmonize akawa mwanamuziki bora mwaka huu na kumpiku bosi wake Diamond Platinumz ambaye naye bado anafanya vizuri na nyimbo wimbo wa jibebe aliyoufanya na wasanii wake Lavalava na Mbosso.

Tazama video ya wimbo huo hapa chini kisha shusha komenti yako.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )