Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Wednesday, August 15, 2018

Viwanja Vikubwa, Vinauzwa: Bunju na Mapinga (Baobab sec)

Kwa upande wa Mapinga Vipo viwanjia kuanzia ukubwa wa sqm 400 kwa milion 4, sqm 800 kwa milion 8, sqm 1000 kwa milion 18, sqm 1400 kwa milion 18.2, sqm 1578 kwa milion 20.5, sqm 1986 kwa milion 25.8, sqm 2386 kwa milion 31, sqm 3018 kwa milion 39.2
 
Viwanja hivi vyote viko umbali wa km 2.5 kutoka main road. Miundombinu ya barabara, maji na umeme yote ipo. na viko na view nzuri sana.

Kwa upande wa Bunju vipo viwanja vya ukubwa wa sqm 1700 kwa milion 50 na sqm 3400 kwa milion 95
Viwanja hivi vimegusa main road (Bagamoyo Road).

Pia ipo Nursary school space yaenye ukubwa wa sqm 4600 na inauzwa kwa milion 46 tu.

Hakuna dalali. contact mhusika:
call 0758603077, whatsap 0757489709
Advertisement
Loading...
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
==

taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

Loading...