Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, September 24, 2018

Diamond Platnumz: Mwili Wangu ni Juisi, Najua Unautaka Lakini Huwezi Kukabiliana na Stress

adv1
Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz ameibuka na kueleza kuwa mwili  wake ni sawa na juice, anajua kuna ambao wanahitaji lakini hawatoweza kukabiliana na msongo wa mawazo. 

Kupitia ukurasa wake Instagram.

"You know this Body is Juicy!!!....and i know you want it..... but don't get fooled, you won't handle the stress!!!"

Hivi karibuni Diamond alikuwa kwenye mvutano na Hamisa Mobetto ambaye ni mzazi mwenzie, kwa kile kilichoelezwa kuwa alikuwa akihitaji kuoelewa naye. 

Hii ni baada ya hapo awali muimbaji huyo kuachwa na mzazi mwenzie pia Zari The Bossladay.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )