Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Tuesday, September 18, 2018

Diamond Platnumz: Zari Ni Hodari Wa Mapenzi

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz amezua  gumzo siku ya jana Kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuimba kipande cha wimbo chenye maneno “Zari hodari wa Mapenzi”.

Diamond ambaye alikuwa Kwenye Mahusiano na Zari kwa takribani miaka minne mpaka walivyimwagana mapema mwaka huu ameibuka na kusifia ujuzi wa mapenzi wa mama watoto wake huyo.

Diamond amesema maneno yake Kupitia kipande cha video Kilichomuonyesha akiimba wimbo mpya wa Msanii kutoka WCB Mbosso uitwao ‘Hodari’ ambapo ndani yake amemtaja Zari kama Hodari wa mapenzi.

==>>Msikilize hapo chini
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )