Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, September 28, 2018

Diwani Mwingine CHADEMA Ajiuzulu na Kutimkia CCM

Diwani wa kata ya Nkoanekoli katika Halmashauri ya Meru wilayani Arumeru kupitia (Chadema), Ndg. Wilson Nanyaro  ameandika barua ya kujiuzulu udiwani na kujiunga na chama a Mapinduzi CCM kwa maelezo kwamba anamuunga mkono Rais John Magufuli.

Nanyaro ni diwani wa kumi na moja katika Halmashauri ya Meru kujiuzulu kwa kwa kipindi hiki  kwa kumuunga mkono Rais Magufuli.Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Ndg. Emanuel Mkongo amethibitisha kupata taarifa za kujiuzulu kwa Nanyaro.

Msikilize hapo chini akifunguka
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )