Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, September 22, 2018

Hamisa Mobetto afunguka yote kuhusu Zari, ishu ya kumloga Diamond

adv1
Hatimaye Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefunguka kuhusu voice note zilizokuwa zikisambaa mtandaoni zikidaiwa anapanga njama ya kumlonga Diamond Platnumz na familia yake.

Kwenye Exclusive Interview na The Playlist ya  Times FM  September 21, 2018 amesema voice note hizo kweli zilikuwa za kwake ila hakuwa na lengo la kuloga kama ilivyokuwa ikielezwa
 
Hamisa amesema hakuwa anaongea na mganga bali ni Ostadhi na alikuwa anaongea naye ili afanye dua awe na amani na mzazi mwenzie na afanikiwe katika mambo yake mengine.

Kuhusu ujumbe wa Zari mara baada ya hayo uliosomeka, kwanza ujumbe wa Zari ulisomeka; 'Never give anyone the power to 'choose' between you and someone else. If they can't decide, decide for them. Walk it away and never look back. Go where your celebrated. Don't even explain i to anyone, your journey is yours. NOBODY has to understand it but YOU. Sending nothing but love you sis in TZ, Now wipe those tears and fix that'.

Hamisa amesema ujumbe huo ni mzuri kwa namna moja au nyingine ila hana uhakika kama ni wa kwake moja kwa moja kwani Zari The Bosslady ana marafiki wengi wa kike Tanzania.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )