Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Monday, September 17, 2018

Julius Kalanga (CCM ) Aibuka Mshindi Ubunge Monduli

Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Jimbo la Monduli, Steven Ulaya ametangaza matokeo ya Jumla ya Ubunge katika jimbo la Monduli.,

Uchaguzi huo ulihusisha jumla ya vyama nane vya siasa vilivyo kuwa vinawania nafasi hiyo ya kupewa ridhaa na wananchi ya kuongoza jimbo hilo hadi mwaka 2020.

Julius Kalanga wa CCM (Pichani) ametangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo hilo baada ya kupata kura 65, 714 dhidi ya kura 3,187 alizopata mshindani wake Yonas Leiser wa CHADEMA.
tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )