Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, September 28, 2018

Kivuko cha MV Nyerere Kimeshaanza Kuvutwa....Tazama Hapa

adv1
Shughuli ya kukivutia nchi kavu kivuko cha Mv Nyerere kilichopinduka Septemba 20 imeanza.

Shughuli hiyo ilianza saa 5:21 asubuhi ya leo baada ya upepo mkali uliokuwa ukivuma katika Pwani ya gati ya kijiji cha Bwisya kisiwa cha Ukara kupungua kasi.

Pamoja na mitambo maalum ya kuvuta na kunyanyua vitu vizito, kazi hiyo pia inafanywa na meli kubwa ya mizigo ya Mv Nyakibalya ambayo imekibana ubavu wa kulia kivuko hicho ili kisipinduke tena wakati kikivutwa.


==>>Tazama Video Hapo Chini
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )