Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Tuesday, October 23, 2018

Azam Marine, Kilimanjaro Fast Ferries Zasitisha Safari za Zanzibar

Kampuni  ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries, zimesitisha safari zake kati ya Dar es Salaam na Zanzibar kuanzisha leo Oktoba 23, 2018, kutokana na hali mbaya ya hewa baharini.

Kampuni hizo zimefikia uamuzi huo baada ya Mamlaka ya Usafiri Baharini (ZMA) pamoja na Mamlaka ya Udhibiti wa Hali ya Hewa (Zanzibar) kutoa taarifa zikieleza kuwa hali ya hewa si salama.

Kwa wanaotaka maelezo zaidi wawasiliane na kampuni za Azam Marine na Kilimanjaro au wafike katika ofisi zao.
tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )