Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, October 11, 2018

Breaking News: Mo Dewji Adaiwa Kutekwa Na Watu Wasiojulikana....Zitto Kabwe, January Makamba Wafunguka

adv1
Mfanyabiashara maarufu , Mohammed Dewji, anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha za moto leo saa 11 Alfajiri wakati akiingia kufanya mazoezi Gym ya Colosseum, Oysterbay Dar es salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, inasemekana watu hao wamefyatua risasi hewani kuwatishia watu walikuwa karibu na eneo hilo kabla ya kuondoka naye.

Kamanda wa Polisi Kinondoni, Jumanne Muliro amethibitisha.

Zitto Kabwe na January Makamba ni miongoni mwa viongozi walioguswa na taarifa hizi na kuandika yafuatayo

adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )