Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Tuesday, October 9, 2018

Breaking: Producer Pancho Latino afariki dunia kwa ajali ya maji

Producer maarufu wa B’ Hitz Record Pancho Latino maarufu kama Mafia, amefariki dunia kwenye ajali ya kuzama na maji wakati akiogelea jioni ya leo kwenye kisiwa cha Mbudya, jiijini Dar es Salaam.

Taarifa zaidi zitafuata. Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu mahala pema peponi Amen.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )