Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Tuesday, October 2, 2018

Diamond Platnumz aipendelea Kenya Tamasha Lake la Wasafi Festival

Baada ya kimya kirefu kuhusu ratiba ya tamasha la Wasafi Festival, hatimaye Diamond Platnumz na uongozi wake wameanza kutoa dondoo za tamasha hilo ambapo ratiba inaonesha litahitimishwa nchini Kenya Desemba 31, 2018 .

Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram amedai kuwa, tamasha hilo litahusisha nchi zaidi ya moja na kuahidi kutoa ratiba muda mfupi ujao.

“KENYA!!! KENYA!!!! Jus to let you know that, Ikitokea Tanzania na nchi zitazotajwa tareh 31 DEC #WasafiFestival 2018 itakuwa inahitimishiwa Jijini #NAIROBI 🔥🔥🔥... TANZANIA!!!! najua mnashauku kubwa😊.... kaa hapa hapa na mimi details zenu zaja✋🏻 #SanaaImezaliwaUpya #WCB4LIFE"

Advertisement
Loading...
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
==

taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

Loading...