Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, October 26, 2018

Diva Ampongeza Wema Sepetu Kwa Kuomba Msamaha Baada ya Video zake Chafu Kusambaa

adv1
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva amempa pole Wema Sepetu kufuatia kusambaa kwa video yake ya faragha mtandaoni.

Diva ameeleza kuwa kitu hicho kinaweza kumtokea yeyote na kumtaka Wema kutulia kwa sasa. 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

"Nakupongeza Wema kwa kitendo chako cha ujasiri cha kuomba msahama, najua sisi ni Binadamu na hakuna aliyekamilika. Mimi nina yangu na kila mtu ana yake,hakuna msafi kabisa duniani, tunajifunza kutokana na makosa.

"Mungu akupe kila hitaji la moyo wako na akuongoze na akuponye with whatever ur goin thru. Mimi ni mkweli na muwazi na naamini baada ya hili utabadilika na kuwa mtu ambaye Wema wanamtaka, hujachelewa babay you cna stil do it," ameeleza Diva.

 April Mwaka huu pia msanii Nandy na Bill Nass kulivuja video ya faragha mtandaoni kitu kilipelekea hadi suala hilo kuzungumziwa bungeni pamoja na kuchukulia hatua na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )