Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Monday, October 15, 2018

Familia Ya Mo Dewji Kuzungumza Na Waandishi wa Habari Leo

Familia ya mfanyabiashara maarufu , Mohammed Dewji ‘Mo’ na Kampuni Tanzu za Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) leo Jumatatu Oktoba 15, 2018 watazungumza na waandishi wa habari kuhusu kutekwa kwa bilionea huyo.

Mkutano huo na waandishi unatarajia kufanyikamchana huu  katika ofisi za MeTL zilizopo jengo la Golden Jubilee, Posta jijini Dar es Salaam.

Baba wa ‘Mo’ Gullam Dewji amethibitisha uwepo wa mkutano huo na waandishi wa habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

taboola apo chini
Loading...
....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )