Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, October 5, 2018

Habari Njema Kwa Wasomaji Wetu: Zile Riwaya Zoka Kali Zilizokuwa Zimesimama Kwa Muda Zimeanza Tena hapa hapa Mpekuzi

Riwaya kali na za kusisimua zilizokuwa zimesimama kwa  muda zimeanza kuruka hewani tena hapa hapa Mpekuzihuru.com

Riwaya hizo zilisimama kwa muda kutokana na sababu za kiufundi, lakini kwa sasa kila kitu kiko vizuri.

Kwa siku tutaweka sehemu mbili mfululizo, na kuanzia kesho October 6 tutaanza na kitu kingine kipya  kiitwacho POWER kwa ajili yako msomaji wetu.

Endelea kuitembelea Mpekuzi au Install App yetu kwenye simu yako ili usipitwe na lolote
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

taboola apo chini
....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )