Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, October 7, 2018

Hamissa Mobetto: Diamond Anapendwa na Wanawake Wengi, Kuwa Naye Ni Kama Vita Vile!

Mwanamitindo Hamisa Mobetto amesema kuwa kwenye mahusiano na Diamond Platnumz ni moja ya vitu vigumu sana.

Mrembo huyo ameeleza kuwa hilo linatokana na muimbaji huyo kupendwa na wanawanake wengi, hivyo muda mwimgine inakuwa kama vita.

"Yaani ukiwa na yule mtu inakuwa kama vita, anapendwa na watu wengi, ana ma-EX wengi kwa hiyo unajikuta inaingia katika ugomvi, migogoro ambayo haukupaswa uingie," Hamisa ameiambia The Playlist ya Times FM.

Utakumbuka kuwa Hamisa Mobetto na Diamond Platnumz waliwahi kuwa kwenye mahusiano ambayo waliyafanya kuwa siri zaidi na kujaliwa kupata mtoto mmoja.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )