Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Tuesday, October 2, 2018

Kortini kwa Kumchapa Fimbo Mtoto

Mkazi wa Mikocheni A, Pyana Herbo (45), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni, Dar es Salaam kwa tuhuma za kumshambulia kwa mchapa   fimbo mtoto.

Karani wa Mahakama hiyo, Januari Kasekwa alidai  mbele ya Hakimu Marko Mochiwa kuwa Septemba 10 saa 4 asubuhi eneo la Mikocheni A, Wilaya ya Kinondoni, mtuhumiwa alimshambulia mtoto Christina Hebron kwa kumpiga na fimbo sehemu mbalimbali za mwili.

Mshtakiwa alikana  shtaka hilona alirudishwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana hadi Oktoba 5, mwaka huu, kesi itakapotajwa tena.
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )