Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Tuesday, October 23, 2018

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Yatoa TAHADHARI Kwa Wanaotumia Usafiri wa Majini

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi nwanaotumia usafiri wa majini kufuatia kuwapo kwa upepo mkali.

TMA imewataka  watu wawe makini na mamlaka zinazoshughulika na usafiri wa majini ziwe makini kwa kuchukua tahadhari kuhakikisha hakuna maafa yanayoweza kutokea.

Upepo huo mkali utavuma kwa siku tatu kwenye Ukanda wa Pwani ya Bahari ya  Hindi na maziwa yote makuu ikiwamo Nyasa, Viktoria na Tanganyika na mikoa yote iliyopakana na maeneo hayo, ikiwamo na mikoa ya kanda ya kati.
Advertisement
Loading...
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
==

taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

Loading...