Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, October 7, 2018

Nandy afunguka kuhusu kolabo na Ruby

Muimbaji Nandy amejibu iwapo itatokea kolabo kati yake na Ruby. Nandy ambaye anatamba na ngoma inayokwenda kwa jina la Aibu amesema bado wao kama wasanii na menejimenti zao hazijawahi kukaa kujadili hilo.

"No hatujawahi, labda time itafika, unajua yupo bize na shughuli zake za muziki unajua hata kama ni ngoma lazima zianze kufikiria menejimenti ili waweze kutukutanisha tupange naamini ipo siku tutakuja kufanya," Nandy ameiambia The Playlist ya Times FM.

Ni mara kadhaa imekuwa ikidai kuwa wawili hao hawapatani lakini kile kinachoonekana hakuna kitu kama hicho kwani Ruby amekuwa akiimba nyimbo za Nandy mara kadhaa.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )