Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Tuesday, October 2, 2018

Zari Achafua Hali ya Hewa Instagram......Ni Baada Ya Kumwandikia Diamond Ujumbe wa Dharau na Kuwaita Wanae KIMA

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa muimbaji Diamond Platnumz, watu wake wa karibu, ndugu, marafiki na mashabiki wamekuwa wakimtumia salamu za kheri kwenye siku yake hiyo muhimu.

Ujumbe wa Zari The Bosslady ulikuwa ukisubiriwa sana mara baada ya Diamond kumuandika ujumbe mzuri sana mrembo huyo siku kadhaa zilizopita kwenye Birthday licha ya kuachana kwao.

Sasa Zari The Bosslady ametumia ukurasa wake wa Instagram na kuposti picha ya watoto wake na Diamond kisha kuandika ujumbe wa dharau; 'Happy birthday mwenye vikima vyake'.

Kwa ujumbe huo, watu wengi wamesikitishwa na kitendo cha mwanamama huyo kuwafananisha watoto wa Diamond Platnumz na mnyama KIMA. 


Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )