Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, November 9, 2018

Baada ya Kuachana na Diamond, Hamisa Mobetto amtambulisha mpenzi wake mpya

Mwanamitindo kutoka Tanzania Hamissa Mobetto amemtambulisha mpenzi wake mpya baada ya kuachana na baba mzazi mwenzie ambaye pia ni msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Hamisa amepost picha akiwa na mwanaume huyo ambaye jina lake halijajulikana mpaka sasa hivi na kisha akaandika ;"Roho Mkalia Moyo"

Ikumbukwe kuwa Hamisa kwa sasa yuko nchini Marekani katika tour  yake akiwa na msanii Christian Bella.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )