Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, November 2, 2018

BREAKING: Treni ya abiria Dar yapata ajali na Kujeruhi Watu 9

Treni ya abiria inayofanya safari zake kati ya Stesheni na Pugu, jijini Dar es Salaam imepata ajali baada ya mabehewa yake mawili kuanguka eneo la Karakata wilayani Ilala na kujeruhi watu 9, leo asubuhi, Ijumaa, Novemba 2, 2018.

Kamanda wa Reli nchini, David Mnyambuga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema mabehewa hayo mawili yameharibika vibaya na kwamba majeruhi tayari walikimbizwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )