Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Saturday, November 24, 2018

Daktari FEKI Atiwa Mbaroni Dodoma

Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Hassan Abdallah Athuman, umri miaka 38 kwa tuhuma za kujifanya Daktari wa magonjwa ya binadamu bila kuwa na vibali maalum.

Kamanda wa Polisi mkoani humo Gilles Muroto amezungumza na Waandishi wa Habari ofisini kwake leo November 24, 2018.

RPC Muroto  amesema; “Huyu tumemkamata eneo la Kijiji cha Mwakisabe alikuwa akitoa Taaluma ya Utabibu bila ya kusomea ni Daktari feki, huyu aliwahi kukamatwa huko nyuma kwa kosa kama hili, alitorka Mahakamani”
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )