Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Wednesday, November 21, 2018

Diamond atoa orodha ya nyimbo atakazoziperformu Wasafi Festival

Msanii  Diamond Platnumz ametoa orodha ya nyimbo 32 atakazoziperformu katika tamasha la Wasafi Festival Mtwara.

Msanii huyo ambae alikuwa Dubai alipoenda  kufanya Show katika tamasha kubwa la One African Music Festival ambalo walipafomu wasanii wengi sana kutoka Afrika aliporejea aliandika ujumbe huu:-

Na baada ya muda kidogo aliorodhesha nyimbo atakazo zitumia katika show ya Wasafi Festival ambazo jumla ziko 52 na wimbo wa 52 ambao ni Mwanza akitahadharisha kwamba atautumia hadi pale atakapopewa ruhusa maana umeshafungiwa.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

taboola apo chini
....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )