Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Monday, November 26, 2018

Rais Magufuli Ashiriki Ibada Ya Kuaga Mwili Wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akisaini kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya,Ibada iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao Makuu ya Baraza hilo Kurasini Jijini Dar es salaam.Novemba 26,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akitoa salamu zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya,Ibada iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es salaam.Novemba 26,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa,Mama Anna Mkapa pamoja na Maaskofu,Mapadre,Masista na Waumini wenginne wakati ibada ikiendelea ya kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya, iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es salaam.Novemba 26,2018
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )