Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, November 1, 2018

Updates: Wema sepetu Kasomewa Shitaka Moja na Kuachiwa kwa Dhamana

adv1
Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu,  leo Novemba 1, 2018 amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kusambaza video  ya ngono kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.

Wema amesomewa shtaka hilo mbele ya Hakimu Mahira Kasonde ambapo amekana kosa hilo kisha kuachiwa kwa dhamana ya Sh. milioni 10 kupitia kwa Salim Limu.

Aidha, Wema ambaye alikuwa akiwakilishwa na wakili  Reuben Simwanza, ametakiwa asiposti video au picha yoyote isiyo na maadili au inayoashiria ngono kwenye mitandao.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 20, mwaka huu.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )