Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, November 2, 2018

Updates: Zitto Kabwe Kaachiwa Kwa Dhamana

adv1
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) ameachiwa kwa dhamana  ya milioni 10 na  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na ametakiwa kufika tena Mahakamani Novemba 26, 2018. 

Zitto Kabwe alifikishwa mahakamani leo  November 2  na kusomewa mashtaka matatu ya uchochezi,  yenye nia ya kuleta chuki kwa Watanzania dhidi ya Jeshi la Polisi. Hata hivyo ,Zitto  alikana mashitaka yote.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )