Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, November 2, 2018

Updates: Zitto Kabwe Kasomewa Mashitaka Matatu ya Uchochezi

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe asomewa mashtaka matatu ya uchochezi,  yenye nia ya kuleta chuki kwa Watanzania dhidi ya Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Hata hivyo ,Zitto  amekana kwa kusema sio kweli na muda huu yupo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akisubiri uamuzi wa dhamana. 
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

taboola apo chini
....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )