Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Saturday, November 10, 2018

VIDEO: "Hakuna wakunitikisa, Mi ni Askari nimeiva, uwezo, fedha na Jeshi tunavyo"- Rais Magufuli

Rais Magufuli  leo Jumamosi Novemba 10, amekagua magari ya JWTZ yaliyoandaliwa kwa ajili ya ununuzi wa korosho endapo wanunuzi binafsi hawatatii maagizo ya Serikali ifikapo Jumatatu Nov 12, 2018 saa 10 Jioni.

Rais amesema; “Huwa sitikisiki hata kwa upepo wa aina gani, waliojaribu kunitingisa walitingisika wenyewe... baada ya saa10 J3 hakuna Mfanyabiashara yeyote wa korosho atakaeruhusiwa hata kununua Kg 50, korosho zote tutazinunua kwa zaidi ya Tsh. 3000, uwezo tunao, Wanajeshi wa kusomba wapo”.

==>>Msikilize hapo chini
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )