Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Monday, November 26, 2018

Wasafi Festival Kuwasha Moto Iringa Novemba 30

Baada ya kuzinduliwa mkoani Mtwara hapo juzi, tamasha la Wasafi Festival  litaendelea kuwasha moto  kwenye mikoa mingine.

Kwa sasa linaelekea mikoa ya Iringa ambapo litafanyika November 30, 2018 na Morogoro itakuwa ni December 02, 2018.

Tamasha la Wasafi linachukua wasanii wote wa WCB na kushirikisha wengine kama Dully Sykes, Dudu Baya, Khadija Kopa, MoCo, Nikki Mbishi, Ibra Nation, One The Incredible, Stereo na wengineo.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )