Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, November 19, 2018

Wizkid kutumbuiza Tamasha la Diamond la Wasafi Festival

adv1
Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu,  Wizkid anatarajiwa kutumbuiza katika tamasha la Wasafi Festival litakayofanyika Dar Es Salaam baada ya Diamond kuthibitisha hilo.

Diamond amethibitisha hilo kupitia ukurasa wa Instagram baada ya ku-comment kwenye post ya Rayvanny ambayo alipost video fupi ikiwaoyesha Diamond na Wizkid muda mfupi baada ya kumalizika kwa tamasha kubwa la muziki la One African Music Festival lililofanyika Dubai wikiendi iliyopita.


adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )